Required
The trophy of Kp Virgin coconut oil

I have been using this Kp coconut oil for a year now its nice and good you cant regret it wen you buy and use This oil..Have Quality with no any additional chemical can be used in many ways like cooking,body oil take one and you will never regret it.
Kp coconut oil

I have been using the product for a quiet some years now for my skin, my hair and for cooking sometimes..The results are amazing compared to other coconut products that i used prior KP..I recommend you try this.
KPLT IS A GOOD PRODUCT.

Ni miaka miwili sasa tangia nianze kutumia mafuta haya ya nazi ,ni mafuta mazuri sana kwasababu yamefanya ngozi yangu kuwa nyororo,na kuwa na weusi mzuri wa kutekeleza na kupendeza.nashauri watu walika zote kwanzia watoto hadi wazee watumie mafuta haya ya nazi kwasababu yanaleta mabadiliko chanya ya ngozi.
The best coconut oil in town

Mafuta ni mazuri sana na yanafaa sana kwa mahitaji mbalimbali nimeyatumia kwa muda sasa na bado ninayatumia kwa ngozi ,nashauri watu myatumie😊they are the best❤️🥳
YANAKUZA NYWELE NA KULAINISHA

KP Virgin Coconut Oil ni 🔥🔥🔥

Nimetumia haya mafuta kwaajili ya ngozi yangu, ni mazuri mnooo yamefanya ngozi yangu kuwa laini na pia kuwa na rangi moja nzuri mwili mzima….nawashauri wote mtumie ili mpate ngozi nzuri.
Top Class Product

This is the most natural Coconut Oil I have ever seen. I strongly recommend everyone to try it